Fr. Dr. Charles Hugo Kitima (BSc, MSc, PhD), Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) anasema katika hospitali ya kanisa katoliki - Cardinal Rugambwa Hospital wahuni walikwenda 30.10.25 na kukuta majeruhi waliopigwa risasi na kuagiza wapelekwe mortuary ili wakafie huko. Manesi walikataa hadi kupiga simu kwa Jude Thaddaeus Ruwa'ichi, Askofu Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam ambaye aligoma na kusema watibiwe kwanza na kama wanawataka watawachukua wakiwa wazima. Huu ni ushahidi wa kimantiki kwamba wahuni waliwaua hadi majeruhi. Kwa matendo hayo mnataka watu wasamehe na kusahau na kusonga mbele? Haiwezekani. Watu lazima waseme ukweli na wawajibike/wawajibishwe halafu tusonge mbele. #WeWillNotForget
“Don’t ever say to yourself, ‘I got all this wealth by my own power and ability.’ Remember the Lord your God is the one who gives you power to do these things. He does this because he wants to keep the agreement that he made with your ancestors, as he is doing today!”
Deuteronomy 8:17-18 ERV
Thanks to my Lord and savior Jesus Christ 🙏🏾