@prossoff Asilimia 80 ya Wanawake wanafanikiwa kuukwepa mtego wa umasikini kupitia ndoa na asilimia 80 ya Wanaume wanaingia kwenye mtego wa umasikini kupitia ndoa.
โMshukuru sana Mungu kwa kutufanya hatuwezi kuona ndani ya Mioyo ya Watu, maana laiti kama tungelikuwa tunajua kinachoendelea kwenye Nafsi za Watu wengine, tusingekuwa hata tunasalimiana!"
ila hii app bana, walamba lips wanaopiga mirror selfies wakishaungana na wadada wabovu wenye pretty usernames na english za "innit, wanna, wildinโ wanaona wameshafaulu maisha. Kumbee Crazy.๐