Tarehe 22 Sept.2023.
Leo mapema nimeweza kufika Ofisini kwa Katibu Wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa, Vyuo na Vyuo Vikuu Taifa.. Ndgu.
Na kuweza kupata wakati sahihi wa kuzungumza maswala mbalimbali kwa lengo la kuendelea kuijenga Tanzania Imara kupitia Uchapazi wenye
Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐️
@Alex_komba00@WideEdson Uhamasishaji umekuwa siku hiz kutokana na Shughuli za kiutendaji kuwa nyingi kwa nafasi mbalimbali za kila Mtu, pia jambo la usafi kila mwisho wa mwez ni jukum la kila Mtu akitambua jukum lake wala haihitaji kuhamasisha watu kuwa wengi ni willing ya Mtu tu.
Eid Mubarak! ✨🌙
Ninaungana na Mhe: Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kuwatakia wana Sumbawanga, Watanzania na Waislam wote kwa ujumla kuwatakia sikukuu njema ya Eid Al-fitr.
Mungu alete baraka,amani na Upendo kwa Jamii yetu.
#SumbawangaUtumishibora.
#MtendajiKazini.🇹🇿
“inawezekana, timiza wajibu wako” Mwl JK Nyerere.
Picha : Nikiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe: Charles Makongoro Nyerere.
https://t.co/DF0Kuv0K1X
Nawashukuru wote mlionitumia salamu za heri ya Kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa. Mungu awabariki sana. Nilitumia kumbukumbu hiyo kuwa na muda na watoto yatima katika makazi yao Mkanyageni, Tanga - kwa ajili ya kumshukuru Mungu. Tulicheza mchezo wa kukisia umri na malaika hawa.
Nimeshirki zoezi la kufanya usafi wa Mazingira katika maeneo ya biashara soko la Sabasaba na Watumishi wezangu wa Halmashauri ya Sumbawanga Mkoa Rukwa.
Tukiungana na Viongozi kutoka Mkoa wa Rukwa,Wananchi ambao ni wafanyabiashara.
“TUNZA MAZINGIRA YAKUTUNZE.”
Nimeungana na team ya Maafisa Watendaji wezangu wa Halmashaur ya Sumbawanga Mkoa wa Rukwa.
Kufanya hamasa kwa Wananchi kujitokeza kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la mpiga kura kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.
#Trust_the_Process.
#Sumbawanga.🇹🇿
Kheri ya kumbukizi njema ya kuzaliwa kwako Mhe. @mwigulunchemba1
Mwenyezi Mungu akubariki sana na kuendelea kuwa sehemu ya Viongozi wenye kuleta mabadiliko katika Taifa la Tanzania.🇹🇿
#MzalendoHalisi2025.✍🏾
Akujagi na Madharau Kwanza Akija Unasikia Amani Ya Moyo, Blessings za God Zikikupiga Tu Hivi Unaanzaga Sikia Poa❤️, Hakuna Blessings za God zinakujaga na Madharau Ondoka Kwa Huyo Mtu Mwambie Huo Msaada Akuuzie, Ambia God kama Huyu Mtu ndo Umetuma awe Msaada wangu basi inatosha🙌