CHADEMA ni INTARAHAMWE hamsikii! Haya sasa wameuwana huko Singida kisa marehemu ni mshabiki wa Mbowe
Bunge la Ulaya litajadi lini hili tukio? Au hili la kuuwana kwenye vikao vyenu huko Singida siyo suala la haki za binadamu ๐
Na taarifa za kuwa Mdude mmemchukua wenyewe ili kuleta taharuki sasa zinaanza kuleta maana!..
@Jaguar_455 sema hawa wasomi wetu wanaposhindwa ku push maisha kwa kigezo cha kukosa ajira kwa kias i wanzingua sana elimu sio ajira tu ni pamoja na kutanua kiwango cha akili ili kutengeneza fursa nyingi zaidi za kuendesha maisha.