Sad to say, ila humu ndani maBro wanatukosea sana. Mimi @Sonko_tips kanitapeli 300,000/= na hataki kujibu wala kupokea simu. Kwa heshima niliyokuwa nampatia sikudhani kama itafikia hii hatua.
β’
@Sonko_tips Nirudishie pesa yangu. Sina maisha kama yako kaka.
Ma Content Creators wengi wa TikTok na Instagram huko Content zao anajirekodi ameamka, anafanya usafi, anapika kidogo then anamalizia akiwa kwenye mishe mishe, lakini huku Twitter Content Creator wengi ni Nondo tu We ain't the same. Respect sana Wanetu.π«‘