Huyu mwanangu anakujaga Kibarazani kwangu Dubai ๐ฆ๐ช๐mara kadhaa tunakula ngoma za @dizastavina ๐ซก
Jana nimetoka Africa Nimemletea Merch kutoka @PanAuthentik amefurahi sana
Hip-Hop๐ซก
Anza mbio nikizuka inaexplode fever...!
Nakunja lines ka pusha anavyo-roll wida...!
Sahau witiri na shufwa mi' ni four figure...!
Nonde Sua Dizasta Governor ka' Schwarzenegger...!
Hamna haja ya matusi mjomba!
Katika era hii ambayo kila mtu yupo shallow au anafosi kuwa commercial, Dizasta is ONE OF THE TOP TIER EMCEES tuliobakiwa nao.
Kuwa โBora wa Mtu Binafsiโ sio tatizo pia maana hiyo ni personal preference; ukiachia mbali kuwa ni mmoja ya hao ambao ni wakali na pia ukichukulia fact kuwa Wakali wengi wapo INACTIVE currently.
Kumbuka pia, Ubora upo wa aina nyingiโฆ na Watu wanapenda vitu tofauti kutoka kwa Wasanii (Flow, Lyrics, Ufundi, Sauti, Performance, Utashi, Muonekano, etc)
Raspect others opinion, au counter it by saying Nani ni Ubora kwako na Kwaniniโฆ TUJIFUNZE
Nilifungwa mwanzo nikapata somo...!
Na ndio maana ninakaba Mpaka kona..!
NAPEnda Goli la mkono...!
Na ndio maana nikipita
Wananiita Maradona...!
@dizastavina
Mi kitasa kama Cafu kama Dunga...!
Dili kila miji mara Magu mara Chuga...!
Elimu ni ufunguo niko down natafuta
Game jau so nabaki underground
mpaka kufa....!
@dizastavina
Mitazamo inaweza kuwa mingi sana na pengine ikawa ina hisia tofauti tofauti ila hii TUKUSA chamber 3IV ya @dizastavina hii ni blueprint.
Uwasilishaji wa kiwangi kikubwa mno