@pastajoshuatz 1. Gabo ameigiza vizuri sana
2. Dr. Kleruu amepwaya
3. Basata/ Serikali/ familia ya Dr. Kleruu wanaweza wasirithie jinsi walivyomuonyesha kua hakua na utu.
4. Ni mwanzo mzuri kwenye tansia ya filamu tulishachoshwa na movie za mapenzi tunaweza shuhudia mwelekeo mpya.