Mwenyekiti wa Mtandao wa Polisi Wanawake CP Susan Kaganda amesema kuanzishwa kwa mtandao huo kumeleta mafanikio makubwa ikiwemo kuanzishwa kwa madawati ya Jinsia na Watoto
#NidhamuHakiWeledinaUadilifuMsingiwaMafanikioYetu
“Sheria ya Ndoa ni muhimu katika ulinzi wa mtoto wa kike lakini pia Sheria ya Vyama vya Siasa ndiyo chachu ya kuimarisha demokrasia nchini.” – Wakili Anna Henga, Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC.
#HumanRightsDay2022#SikuYaHakiZaBinadamu
The 2022 FIFA World Cup quarter-finals:
🇳🇱 Netherlands vs Argentina 🇦🇷
🇧🇷 Brazil vs Croatia 🇭🇷
🏴 England vs France 🇫🇷
🇲🇦 Morocco vs Portugal 🇵🇹
#FIFAWorldCup
HT: 🏴 #England 2-0 🇸🇳 #Senegal
Jordan Henderson na Harry Kane wanawaweka Simba watatu katika udhibiti wakati wa mapumziko huku Simba wa taranga kurudi kujipanga upya.
#FIFAWorldCup#FIFAWorldCupQatar2022