@PMadeleka Mtu na nusu jamaa, na anatuvusha Salama kabisaa. Huyu jamaa watu wa Dsm ukimsema vibaya wanakutwanga mawee. Jamaa kaifanya Dsm inaishi kama Familia mojaa. So kwa ulivyo ongea vzr. Umewagusa wana Dar. Muliro ni mwamba kwelilweli, nikiboko ya VIBAKA na waharifu, so VIVA MURILO.
@mangekimambi Term hii sisi wanachi tutawasaidia Polosi Kuwatoa Bawasili matakoni nyani nyinyi.
Maanamano ya nyokoo.
Hatushawishiki. Watanzania, tumeng'amka. Mlitutelekeza 29.10. Mnataka ujinga huo tena! Mtaenda na Baba zenu ujinga huo hatufanyi. Fanyeni marekani huko, acha Umalaya, nyau wewe
@PMadeleka Nyie Ongeeni tu lakin sisi kama watanzania tumeshapona.
Akili zenu ziliwatuma tu tuchomewe maduka yetu na huduma zetu mhimu. Sasa mnaanza zozo SINDANO YA TAKO Ishawaingia wahuni. Sisi tumefrahi maandamano yamedhibitiwa. Akili zenu ziko makalioni. Acha waziri achale kazi. Midomoo
@mlimaSayuni@TanzaniaLeaks@Muller95Diego Msenge wewe unafilwa na Boni yai. Wambula hana Ujinga huo sio Mzrmbe kama wewe, hilo tangazo ni la Baba yako baada ya KUFIRWA na Yule rais wa TFF. Yani IGP asbh alikuwa kikaoni wakili wangu ni Polisi kanijuza. Na mchana kapita kaenda Mbezi kukagua tukamuona , We Bwenge Msengeee.
@Kadogo551@SuluhuSamia Yani kila siku mnaibuka na vioja, kwani ninyi hamnaga habari ya amani? Kwa kwa zoezi tulizozishuhudia za Polisi, mtakuja mkutane na kipigo sio cha Nchi hii, yani wananchi tunaliomba Jeshi la Polisi wasiwaonee huruma wajinga kama hawa, watanzania tunaliombea jeshi la PT kwa Mungu.
@MO29TV Lakini akili ya kuilewa tume unayoooo!!!!!!? Au ungetulia upone kwanza ndo uongee? Maana kuongea ukiwa nusu kaputi akili zinakuwa si zako, yanaongea madawa.
@HildaNewton21 Ulitaka Polisi waanze kutumia mawe na Virungu? inasemekana askari wengi wameumizwa kwa mawe na mapanga, yani wewe ulitaka nao watumie mawee Mjinga kabisa wewe, yani sisi tulishuhudia kituo kimoja Tegeta wanakivamia yani tuliwaza ivi hawa Bunduki wanataka wazipeleke wapi? .
@HildaNewton21 Sasa unategemea yani wangeenda Nyumbani kwanza hafu wakachukue mabomu huku watu wanavamia kitup cha Polisi wachukue bunduki? Yani unajua kama sio mtaalam unawweza ukaongea porojo lakin vibaka waliibuka Ghafra na kwenda kuvamia vituo vya mafuta, miundombinu ya umeme. Hafu hapa
@HildaNewton21 Wewe nae akili zako kisoda, vita inapiganwa kutokana na ujio wa adui na mazingira, mfano kuna rafiki yangu Polisi, aliniambia, yan waliamka na mipango yao haikuwa ya kupiga mabomu, wala kirungu mtu. Yani walijua uchaguzi ni wa herii kabisa, Ghafra, paaa wajinga wakaanza ujinga
@HildaNewton21@TheRealJongwe Yani kama haya hukuyashuhudia kwa macho ukakutana na waongeaji tu huku X. Aisee yani waza zile bunduki wangefanikiwa kuzibeba kwenye vituo vya polisi walikuwa wazitumie kufanya nini, tungetaabika hata miaka 20 na Hakiyamungu Kongo wakasome kwa shida ambayo ingetokea Tz Shenzi san
@HildaNewton21@TheRealJongwe Walistahili kulambwa shaba, mafala wale. Na kama wewe ndie ulie watuma na wewe unastahili kufanywa kama wao.
Unajua mimi yamenitokea kwenye ukoo wangu watu wangu wamechomewa vituo vya mafuta Dsm, mwanza na geita, yani hawahusiani na siasa, mimi pale kimara Dungu likavunjwa hovyo.
@HildaNewton21@TheRealJongwe Avituo vya mafuta? na mwendokasi?. Hapo ndipo uwajibishe hao ndugu zako we msenge. Mi mwenyewe ni CHADEMA DAMU, lakin kwa nini mchome kituo ndg yangu cha ORYX? Nilikuwa nakuheshimu Sugu lakini kumbe na wewe ni mavi. Mambo ya Msingi tuache usenge vyama. Wale walikuwa ni majambazi
@HecheJohn Inapaswa ndg yangu Heche mmalizane kwanza na mahakama mna Zuio kwa hiyo lazima mjue hilo. Hawa Polisi tutawalaum sana lakin wana perfom their functions well, so tusogee mahakamani tushinde liondolewe lile zuio ili tusonge mbele vinginevyo tutawalaum sana hawa Polisi kumbe siooo.
@MayonLaizer Watu tunapenda kulalama kila kitu.
Kwani z kasema zile za serikali!! Kwa kakataza watu kuandika au kuongea!! Watu tunapenda ligi tu. Cha msingi kama kasema za serikali tuwaachie wasemaji wa s.kali watatoa wao. Asa tunatokwa povu kwani sis tunazo habari zenyewe!!? Au tunapayuka tu