Leo tarehe 17/2/2026 kesi ya jinai kati ya Jamhuri dhidi ya Yohana Kaunya na mwenzake iliyoko mahakama ya wilaya Bunda. Ilikuwa inakuja kuendelea na usikilizaji ambapo jamhuri ina jumla ya mashahidi 41.Hata hivyo imeahirishwa kwa kukosekana mashahidi na gari la kuleta watuhumiwa
Ndani ya nchi yao, rushwa ni kosa kubwa. Nje ya mipaka yao, ni mkakati wa kupata miradi na biashara. Wanahubiri maadili kwao, lakini huweka bei ya dhamira kwa asilimia na rushwa wanapokuja kwetu. Rushwa inakuwa daraja la biashara na miradi. Huu si mfumo uliovunjika, bali ni unafiki uliopangwa, uliofanikishwa kwa kiwango kikubwa na upumbavu wetu wenyewe.
OMG!! 😭😭😭😭 hii ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia video hii anahofia mnooo maisha yake ndo maana imemchukua muda sana kunipa video hii.
Anasema kuwa polisi walikuwa wanachukua simu za manesi na madokta wanafuta video na picha na kuwatishia wasirekodi kitu, yeye alikuwa na simu 2 so akawapa simu ambayo alikuwa hajarekodi chochote wakaridhika.
OMG! OMG! @Meta has unsuspended my WhatsApp account, +1 424 537 3057. For those who don’t understand the important of regaining access to this number is that, this is the number that Tanzanians were using to secretly share photos and videos of the election massacre that saw over 10,000 Tanzanias get killed. You can scroll down this page to see the photos and videos of the killings.
My Instagram accounts @mangekimambi80 @mangekimambi_ and my news media page @wananchiforum and my facebook accounts @[email protected] remain disabled.
I would like to thank every single person who is working behind the scenes to ensure @meta does the right by Tanzanians by reinstating my accounts.
I would also like to thank members of congress who are taking the time to help us regain access to these pages.
Watanzania account yangu ya whatsapp imerudi hewani mchana huu. Bado siamini. Naomba muambiane huko instagram na tiktok kuwa WhatsApp ya taifa imerudi hewani +1 424 537 3057
Tanzanians let’s keep pushing mpaka tuzipate page zote ili tuendelee kupambania uhuru wetu
🧵1: During the election protests between 29 October and 3 November 2025, security forces in #Tanzania used unnecessary or disproportionate force including acts of torture and ill-treatment on protesters and bystanders who did not appear to pose any imminent threat.
Ni rahisi sana kuwaweka CHAWA straight bila fujo yoyote. Hii ni kwa Gen Z na watu wengine wote.
Hatupigi kelele, hatutukani , tunapiga BAN.
1️⃣ Wakisema kuna show → USIENDE kabisa. FULL BAN
2️⃣ Kampuni inayofadhili hiyo show~BAN bidhaa zao zote
3️⃣ Ukumbi uliotumika , USIWEKE MIGUU~BAN
4️⃣ Makampuni yanayowasponsor kupitia radio, TV, mabango~BAN huduma zao
5️⃣ Pages zao kwenye social media~UNFOLLOW WOTE NOW. BAN
6️⃣ Streams zao (YouTube, Spotify, Boomplay, Apple Music) → DON’T PLAY. BAN
7️⃣ Ringback / caller tunes → ONDOA. BAN
8️⃣ Events wanazohudhuria kama guests → IGNORE kabisa. BAN
9️⃣ Brands zinazowachukua kama ambassadors → BAN hiyo brand
🔟 Media interviews zao → USITAZAME, USISKILIZE. BAN
1️⃣1️⃣ Merchandise zao → USINUNUE. BAN
1️⃣2️⃣ Hashtags zao → USITUMIE, USITRENDSHE. BAN
1️⃣3️⃣ Fan pages zinazowapromote → MUTE / BLOCK. BAN
1️⃣4️⃣ Clubs & lounges zinazowaplay → USIENDE. BAN
1️⃣5️⃣ Award shows wanazoteuliwa → USIPIGE KURA. BAN
🧠 Kanuni ya Gen Z na wananchi wote, Hakuna fujo. Hakuna matusi.
Attention = currency.
Ukikata support → nguvu inaisha.
👉 No support. Full BAN.
#GenZ #WatuWote #BAN #NoSupportNoShow
kama mgombea uliyemnadi kashinda kwa 98%, why ulie kukosa support ya 2%? millions tunaambiwa walijitokeza kumpigia kura samia, si ndo huyu huyu wasanii hawa hawa walikuwa wanazunguka naye huku na kule kumnadi? hao hawatoshi kujaza matamasha? kuna ukweli hamtaki kusema. usemeni!