Sometimes siyo lazima kila Movements ni za ku-support hata kama zinaendeshwa/kufanywa na watu wetu wa karibu unless zina Maslahi kwako na kwa wengine pia..
REASONING!!!. TUISHI ✊
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa nitakuwa Uyole Jumapili hii pamoja na Viongozi wengine wa ngazi mbalimbali za chama…Ni mkutano wa hadhara na Wananchi wote wa Mbeya Mjini njooni tuendelee tulipoishia…✌🏾✌🏾
#LiMwenyekiti#NyasaMpya#FREELISSU
Arusha, asanteni sana. Baada ya muda mrefu bila kukutana, leo mmekuwa mashuhuda wa upendo wa demokrasia na haki katika nchi yetu. Pamoja na hofu iliyojengwa juu ya maumivu makali, mateso na mauaji, bado mmejitokeza kwa matumaini makubwa.
Mungu awabariki . Love you sana.
Nikisikia hizi habari za watu kutekwa najisikia vibaya sana. Watu zaidi ya saba mnakwenda kumteka kijana asiyekuwa hatari kwa usalama wa nchi nyumbani kwao mbele ya familia yake? Mnaelewa kweli trauma mnayotengeneza kwa hizi familia? Mnajua chuki mnayoipandikiza kwa jamii? Watu waliomteka Damour Nyakairo, @Ninja_Damour muachieni huko mafichoni aendelee na maisha yake. Hatutaki kuona kijana mwingine anatekwa na kupotezwa. Hatuwezi wote kufikiri na kuwaza sawa. Taifa letu litajengwa kwa msigano wa mawazo. #FreeNinjaDamour
Haijalishi itachukuwa muda gani ila moja kati ya mistake tutaifanya ni ku give up kumtafuta mwana.
Zoezi la kumtafuta Ninja mitandaoni na Mtaani lisiwe na Kikomo, kikomo ni atakapopatikana. 🤝
#FREENINJA