@shaffihdauda1 Yan kuipenda Tanzania maana yake ni kutokukemea maovu yan watu wakiwa wanaboronga tuwasifie ๐๐ Watu wakifanya uhalifu. tufumbe macho tusiseme kitu ndio kuipenda Tz ?
@EsirEid Siku taifa likikombolewa ntaomba kujua Tarehe 29 kulikua kuna Mambo mengi sana nyuma ya pazia hatuyajui Nitataman kuyajua siku Watu walikua wana hamu ya kuingia road Lakini kama kawaida yetu watz Hofu Lakini wale walioanzisha na badae wananch kuungana kuna story tamu hapo