@eastafricatv Mmh kuna kipind walituambia bei ya mafuta ya leo ni bei inayotakana na mafuta yaliyo agizwa miezi mitatu nyuma. Vita imeanza juz tuu mana ake mafuta waliyo yaagiza sasa hivi yatatufikia miezi mitatu ijayo how comes mafuta yawe bei nowπ @EwuraTanzania
@sajo_mwaihabi@senior_ahoua Una manisha walimu wote waishie certificate! Afu wakafundishe level zoteza elimu sababu wote wanaitwa walimu hao certificate. Degree, diploma etc??
@rbbr__k@lusakoBahati@tonymaster01 15 New Russian Billionaires Enter Forbes 'World's Richest' Ranking, Kim Remains Richest Woman - The Moscow Times https://t.co/U2Lva37IIe
Huyo hapo media kutoka Russia na yenyewe sijui utasema imeli0wa na mabeberu kama mlivyozoea wabongo
@lusakoBahati@rbbr__k@tonymaster01 Kaka njoo na taarifa za eastern! Mm niko tayari kuxipokea na kuziamini ni z kweli niletee source ya eastern inayopingaja na hiyo unayosema ni ya magharibi kwenye hili la utajiri!π. Msiwe watu wakulalamika tu afu hamna back up let facts speak iwe ya kirusi , kichina, N.korea wek
@rbbr__k@lusakoBahati@tonymaster01 Kaka njoo na taarifa za eastern! Mm niko tayari kuxipokea na kuziamini ni z kweli niletee source ya eastern inayopingaja na hiyo unayosema ni ya magharibi kwenye hili la utajiri!π. Msiwe watu wakulalamika tu afu hamna back up let facts speak iwe ya kirusi , kichina, N.korea wek
@AdroitMatovolwa@lusakoBahati@tonymaster01 Yeah sasa watu wanahis kuwa na hela unazitolea wap! Kama huna visible business huwez wekwa humo lazma watu wajue sources of your money na sources huwa znajionesha zenyewe na sio watu wanaenda kujimwambafy huko
@lusakoBahati@tonymaster01 Achen uhuni mzee utajiri haujifichi unless unsuza madawa ya kulevya! Huwez ili uwe na 100bn usd Worth it means uko na big institutions/businesses hauwezi tajirika kiasi hicho from thin air! So wangejulikana tu tuache habari za kujidanganya! Mbona wale wa hind, china na Italy wapo
@Thommunkondya Changamoto wanajenga bila kufikiria 100yrd ahead plus hao mipango miji ndio utoporo kabisaa the same mistake iliyofanyika dsm still inakua entertained kwenye mikoa na wilaya zingne huko ! Still bado hifadh za barabara ni ndogo yanj tuna watu huko wahusika sielewi wanafikiria nn