1. Weak boys watafanya ku'simp sana ili kupata mwanamke, inawezakuwa kutumia pesa au kuji de'sexualize ili tu mama imuelewe.
2. Strong Men wanafanya kuji upgrade kuwa bora ikiwepo kutafuta cash kiasi kwamba wanawake wanakuwa na sehemu ndogo na wanajirahisi.
The later is the best