Huyu manzi nilimtongoza akasema ana mtu wake,
Nikamwambia sina shida nae, nina shida na wewe, akaelewa somo akajaa.
Sasa juzi siku kama mbili yuko na mchizi,
Nikipiga simu zinajikata, meseji delivered hazijibiwi.
Nikatumia namba ingine, akapokea, nikamuuliza kwanini...👇
Dear wafalme,
Mwanamke ataumiza moyo wako, atakupeleka mahakamani na kuchukua kila kitu chako
Kisha ataenda kuanza maisha na mwanaume mwingine, na machozi yako hayatobadilisha kitu
Kuwa makini na mwanamke unayetaka kumfanya awe mke.
Nimeona wanaume wakiteseka, wanateseka.
Dear wafalme,
Ukishaachana na mwanamke,
Kamwe usimpigie, usimtumie text, usimbebeleze, usifanye drama.
Kaa kimya, teseka kimya, furahia huo upweke na unyonge.
Na usikimbilie mahusiano mengine ku-prove point.
Rudia kuwekeza zaidi kwenye haso zako.
BE A MAN.
Jana narudi 🏡 nimedakwa nikasogezwa Bay nakutana na poti la zamu linanipa 🤜🤛 shangwe kama zote likaniuliza oya we jamaa nilikuona wapi?
Kumbe nilipiga nalo 📚 miaka ya 90 PCM pale magambani tulikandwa sana na Shafii kisa namba😅
It sounds great kuona wa kuwa upande wako
GM
Siku ya Leo nakuletea mambo 5 makubwa ya kuzingatia kabla ya kununua FRIDGE lolote lile, ili uchukue kitu kinachoendana na uhalisia Yako, zingatia sana.!! 🤝📌
1. BRAND.
Cha kwanza zingatia brand ambazo zinafanya vizuri sokoni, hizi hapa ni baadhi ya brand zinazofanya vizuri kwenye upande wa fridge, brand kama Hisense, MR UK, BOSS, ADH & Midea. Zipo na nyingine ila hizo hapo juu ni Top ukiangalia upande wa budget wise.
2. ENERGY SAVING.
Kwa watu ambao vipato vyetu ni vya kawaida, hakikisha fridge ambayo unanunua compressor yake Ina energy saving ambayo inasaidia matumizi mazuri ya umeme, fridge za kisasa za siku hizi wameboresha sana upande wa umeme, unaweza washa masaa 24 na likatumia umeme kidogo, hii energy saving inakuwa imebandikwa kwenye fridge ni kama sticker hivi inakuwa ndani ya fridge au nje.
3. UJAZO.
Hapa wengi huwa wanajichanganya sana, Kila fridge inakuwa na ujazo wake na kadiri ujazo unavyokuwa mkubwa basi na gharama ya fridge inakuwa Kubwa, na ujazo huu unakuwa umeandikwa kwenye fridge, hivyo anayekuuzia hakikisha anakuambia ujazo halisi wa fridge au unaweza chukua model number husika ukiingiaa hata kwenye AI itakuambia Hilo fridge Lina ujazo Gani interms of LITERS. Fridge la kawaida la ndani minimum atleast lianzie 114L kwenda juu.
4. BUDGET.
Sasa hapa nakuonyesha fridge za ujazo kuanzia 118L budget zake.
1. Hisense 120L - 580,000/=
2. MR UK 118L - 510,000/=
3. ADH 138L - 530,000/=
4. Midea 175L - 680,000/=
Unaweza pata Sasa picha halisi ya bei za fridge zinavyokuwa, fridge kuanzia 118L sio chini ya 500K, usije kutaka fridge ya ujazo mkubwa kwa gharama ndogo 😂.
Zipo zingine za 350K, 320K hizo unakuta zipo za 100L, 108L n.k hizo wanachukuaga wanaoanza maisha 😁
5. FROST.
Sasa hapa hakikisha unachukua fridge ambayo sio FROST, NON-FROST fridge, Frost ni Ile hali ya fridge kugandisha barafu pembezoni ndani mwa fridge, hivyo kumpelekea fridge kuwa jau ndani 😂. Lakini non- frost hizi zinagandisha kitu kilicho ndani TU na kutoacha mabarafu pembezoni kwa sababu mfumo wake ni imara.
Kwa mahitaji ya fridge unaweza nitext Whatsapp au kunipigia
0747625726
Ukiwa dar es salaam delivery ni BURE kabisa
Kwa wa mikoani gharama ya usafiri inategemeana na ukubwa wa fridge 📌
🚨HERE WE GO 🚨
Leo nimesaini kandarasi mpya ya kuendelea kukaa nyumbani kwa miaka mingine miwili.. Document zote zimesainiwa na pande zote mbili.🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
This winning na for all my fellow punters big or small. our effort no go waste, dem don too mock our community.❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@shaks_prince Mama hana kosa hapo. Karudi kwa aliye zaa nae. Jamaa yako akatafute familia yake aachane na familia ya mwanaume mwenzake. Kifupi jamaa yako ni bwege (simp) na dunia haizawadiu weak men
Usiogope kujitafuta upya, hata kama italazimu ku-relocate.
Maisha ni marathon,Using’ang’anie vitu, mazingira, au watu ambao hawakufanyi kukua, bali wanakuua taratibu ndani yako.
Wakati mwingine hatua ya kuondoka ndiyo mwanzo wa kuishi kweli.