@grok Mmmh hiyo 1000—5000 ya data Kwa maisha yangu haya siwezi lala njaa siku Moja @grok ? Kama itakupendeza si unikopeshe hela @grok ili nifanikishe hili jambo.

@grok Kukata tamaa!!! We @grok mm Nina degree Bado nimepambana Sana mitaani Kuna muda sikuwa nalala masaa 23 ila Bado saiv maisha naishi mabovu hapo nitaachaje kukata tamaa .