VIDEO:
Kutoka ACT Wazalendo @ACTwazalendo makao makuu, Magomeni jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi Juni 05.2025, chama hicho kina jambo lao ambalo pamoja na mambo mengine wamesema "Mwamba" anapokelewa
Huyo "Mwamba" ni nani?, endelea kukufuatilia kupitia Jambo TV
Katika Kampuni ambayo sitawahi kuitumia tena kutuma mzigo ni ABC.
Nimetuma T shirt za msiba juzi ufike janaa kwa sababu msiba ni leo guess what mzigo mpaka leo upo Dar 🙌🏿
Sasa mteja anataka fidia ya hela yake kwa sababu t shirt hajazitumia
Elimu tunazo, Maarifa tunayo, Juhudi pia tunazifanya, Ila Kuna kitu kinaitwa Time na Bahati Uenda ndio Bado Havijatufikia ili na sisi tuwe kama nyie Tunaamini wakati wa Mungu ni sahihi zaidi.
Gari ya CHADEMA inayotumika kubeba vyombo vya muziki kwa ajili ya Public address (PA) systems katika msafara wa Makamu Mwenyekiti @HecheJohn, imepata ajali alfajiri ya leo maeneo ya Msamvu Morogoro, ikielekea Kivukoni - Ulanga, Igima - Mlimba, Ifakara Mjini - Kilombero kuanza kwa operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Kati (Morogoro, Dodoma, Singida). Hakuna vifo. Majeruhi wanapata matibabu hospitali.
Kama mtu anakufungia mtandao maana yake anakufukuza kazi
Kama mtu anakufukuza kazi maana yake hataki upate hela
Kama mtu hata upate hela maana yake hataki ulipe kodi
Sasa nchi itapata wapi hela tusipofanya kazi.?
Tunahitaji kufanya kazi.
Signs of high vibration;
1. Watu kukupenda na kukutamani.
2. Watoto kukupenda sana.
3. Wanyama kuwa comfortable na wewe.
4. Strangers kukuamini na kukuelezea mikasa yao ya kimaisha
5. Unapoingia mahali panachangamka
6. Unabeba attention kirahisi.
7. Kuwa affected na moon phases.
Hakuna Kitu kinaumiza kuona Kijana kabisa ana nguvu zake na Akili zake anakuomba kitu kama 5k, 10k n.k, hii Hali inatakiwa iumize Kila mtu na tujiulize chanzo Ni nini? Chanzo Ni Serikali yetu mbovu na mifumo mibovu inapelekea vijana kukosa kazi, hii sio Hali ya kuchekelea 🤦
Kama Binadamu wa Kawaida unatakiwa kutambua Kuwa Huwezi Kupendwa na Kila Mtu unaweza Kufanya kila lililo jema Bado kuna Kundi la watu hawato liona na hawato Kupenda, Jifunze Kukubali negativity na Umove On..!!🤝🤝