@SharonMontana20 Wasouth (indigenous) wanabwabwaja sana as if wao ndo wameleta maendeleo kule kwao kumbe ni kazi ya foreigners kwa asilimia kubwa. Kua fluent in English sio guarantee ya kutoboa.
@KennedyMmari Sidhani kama wao hapo Rwanda ilo suala hawajalifanyia kazi. Lazima watajua wame-evaluate merits na demerits za huo mchongo. Rwanda ina watu mahiri sana sio kama sisi hapa Bongo-lala.
@yesayatz@ErickKamihanda Ni kweli lakini usijibu kimazoea, yule kagame kupitia iyo Formula-1 atafaidika sana kuliko sisi na iyo AFCON ambayo tuna-cohost. Na sidhani kama baada ya mashindano ya F1 facilities zitakufa, kagame sio bwege.
🚨 BREAKING :
🇷🇺 Putin: "We are giving Elon Musk 48 hours to explain why Starlink is interfering with our strategic operations. Do not test our patience."
🚀 Elon Musk: "Bro, I can literally disable your country's entire GPS system from my phone while sitting on the toilet."
Absolute cold-blooded reply.
@ErickKamihanda Juu apaue na nini mzee?, wengi waliomimina zege juu wanalia kipindi cha mvua kuna vuja kinoma.
Wachache wanaweza kuwalipa engineers wawajengee otherwise ni mafundi vishoka tu bora BATI ata mimi nakupaulia.