Ukianza kuishi maisha yako kwa ajili ya moyo wako badala ya macho ya jamii, utagundua umepoteza muda mwingi sana kujali vitu ambavyo sio majukumu yako.
Every man’s dream is to own a ranch, keep goats, sheep, cows, chicken, etc. Marry a feminine woman, have kids raised far from city chaos and drama. Grow organic food and live a happy life. May that dream come true.
Maisha mzee. Kuna mtu anakulilia shida kwakuwa anaamini hautamvua nguo. Akiokota atakaa mbali ili usihemewe na shida zake. Anajua ukimuona utasikia haja ya kumsaidia. Akirudi tena ujue amerudi anapojua atalia bila kusimangwa. Wanaume tuelewe hili. Kuna watu genuinely ni wahitaji!