@mz5401164272463@Sirajitz1 kagoma (mkabaji)
mudathiri(box to box)
angalia wanavyotumika utagundua utofauti..kagoma analinda tu na kuharibu zaidi mashambulizi ila muda analinda pia na kushambulia
@MarwaIcon@Rollandbarbosa@BracuszCadabra pia kuna mambo manne lazima yawepo
1.umbali kutoka golini
2.uelekeo wa mchezo
3.idadi na umbali wa mabeki wengine
4.umiliki/uelekeo wa umiliki wa mpira
I think I've seen the best goal from CCC feet since he is landed in Tanzania
Kubwa zaidi Watanzania milioni 60+ wamebahatika kumuona mchezaji Bora zaidi kuwahi kuhudumu soka letu
That's goal was the best from the best ✍🏽
@BasilG01@EduTalkTz upeo mdogo una miliki.. ngumu sana kunielewa., na nimekupa kitu cha kukufikirisha ndio mana una arque kwa pupa. huenda utakuja kuelewa