Katika nafasi yake mpya, Klopp atazingatia kuimarisha falsafa ya soka ya Red Bull na kutoa msaada kwa wakurugenzi wa michezo katika klabu zote. Pia atatumia uzoefu wake na mtandao wake mpana katika soka kutafuta vipaji vipya na kuendeleza makocha.
KAMPUNI YA VINYWAJI YA NISHATI YA RED BULL YAMPATA KLOPP
Kampuni maarufu ya vinywaji vya nishati, Red Bull, imefanya mabadiliko makubwa katika uongozi wa michezo kwa kumteua Jurgen Klopp kuwa mkurugenzi muendeshaji wa soka duniani.
Red Bull, iliyoanzishwa mwaka 1984 na yenye makao makuu yake nchini Austria, inamiliki na kuendesha mtandao mpana wa klabu za soka duniani kote, ikijumuisha RB Leipzig, Red Bull Salzburg, New York Red Bulls, na vilabu viwili nchini Brazil.
4 match, 7 Goals, 1 assist
Viktor Einar GyΓΆkeres
Juni 4, 1998
Uraia: Mswedeni
Nafasi: Mshambuliaji
Klabu ya Sasa: Sporting CP (Primeira Liga)
Klabu za Awali: Brommapojkarna, Atalanta, Brighton & Hove Albion, Swansea City, Coventry City