Top Tweets for #MATAPELI
Shida wangeshinda , sifa wangepewa watu wengine. Kuna Makundi matatu naona kabisa kuanzia #Siima #Karia na wale #Matapeli watatu kwenye bench pale. #DimaMaghreb
Mwandishi wa Habari, Rostam Azizi ana Sema Samia Kaanzisha Miradi Mipya Miiingi Sanaa, unashindwa Kuumuliza Huyo GABACHOLI akutajie hata Miradi Mitano aliyoianzisha Samia..!!? Ukiachana na Ule Mradi wake wa RoyoTuwa.
Mwandishi wa Wapi wewe au ndio Wale Makanja-nja..!!? #MATAPELI
Jamaa Zetu Walikua Kwenye Kale Katimu kaliko pewa jina La KKKZ, Kikosi Kazi.
Kakikundi kaliko anzishwa kwaajili ya Kuahadaa WanaNchi.
na Kwenye Vijimkutano vyao Kuna Mambo walikubaliana.. ikiwemo Mabadiriko Kwenye Hii TUME ya Raisi
Ajabu Leo Wanatwambia TULINDE KURA! #MATAPELI

@Jambotv_ Wanakopa wanakula na familia zao #matapeli, wezi Maisha magumu yanabaki kwa wananchi wa kawaida #NoReformsNoElection
@Roma_Mkatoliki Uko kama mm, naweza kusema ok ngoja niwasikilize kidogo labda ntawaelewa, mara chama kimeua ndoto za wanachama kuchaguliwa kua wabunge na madwani. Najiuliza kwani 2020 na 2024 walizuiliwa waliambulia nn kama sio kutoa kafala tu kwa ajili ya ruzuku. #Matapeli
Fuck you and your Betslips. Zimenitia Umaskini
@HenryKilewo @ChademaTz @freemanmbowetz #Mropokaji? Mkampa nafasi ya Mwanasheria mkuu wa Chama>>Akaqa Madhimu mkuu kambi rasmi ya upinzani>>Mamamu mwenyekiti>>Kubwa zaidi akawa mgombea wa Uraisi ili aongoze nchi, leo kugusa nafasi ya @freemanmbowetz Kawa muhaini, msaliti na Roporoo🤣Hakika ninyi ni #MATAPELI
Mwanangu @Sativa255 angeshatweet hapa magoal kibao kona chache #MATAPELI KAZINI 😂
PONA HARAKA KAKA URUDI KAZINI.

Papoose alitoa 12 albums ndani ya mwaka mmoja,huo ni wastani wa album moja kila mwezi,ndio mjue sisi bado wavivu sana,msanii ana miaka zaidi ya 10 kwenye muziki na hana hata album moja,ogopeni #MATAPELI
Kanji anawabonda badala ya kuungana mmbonde nayeye,Sasa mnabondana ninyi Kwa ninyi😂.....#Matapeli

Mentor alikuwa naishi kwa Euros pia 😂😂😂 #Matapeli

Ni kama hawa watu huunda natural disasters na calamities ndio watenge free millions.
@RealJaguarKenya ulisema tuwaite #Matapeli ama you can't relate? 🥲

Kaka pia wewe ripoti yako ni nayo,kidnly explain this #matapeli

Dear Ladies, gift your man something today na sio socks😡😂
🛍️Happy Shopping...
https://t.co/aIiusVLhd1


Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.9M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.4M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.3M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.8M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.1M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.9M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.5M followers

X 
@x
60.8M followers

























