Tanzania watu wengi wanakosa platform ya kushare what they are going through wakiwa kwenye nyakati ngumu kwahiyo ukiona mtu anapost mtandaoni issue yake wwe jaribu kumuelewa tu Watu wanateseka ๐
Kuona binti uliyekua unalala naye geto amepata mume na kufunga ndoa ni feeling nzuri sana ni kama vile mwalimu akiona mwanafunzi wake ame graduate na kapata kazi nzuri ๐๐ฅ๐ค
Barcelona new kit
fc bayern Munich new kit
Manchester United new kit fan version
Real Madrid home kit next season
zote available for sale on the market njoo tsup 0756226825.
Naangalia quality ya WILLIAN PACHO
Naangalia quality ya saliba
Naangalia quality ya maghales
Naangalia quality ya maquinhos
Naangalia quliaty ya jonathan Ta
Naangalia quality ya upamecano
Niseme tu uwazi barcelona hawezi beba taji la ulaya kwa quality ya akina PAUL CUBARS๐ฎ
Leo agenda ni Parade kushangilia kombe letu na mafanikio yetu๐คฃ๐คฃ๐คฃkama wewe ni Arsenal hater niblock mapemaโฆim about to be a Menaceee!!!๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐๐๐๐๐๐๐