Sawa ni kweli wanetu CCM mnamiliki vyombo vya dollar,
Ni kweli nyie ni watawala,
Kweli mnaweza kumpata yeyote
Ila kwa Twaha wanetu mmepuyanga,
Moja kati ya watu wenye siasa safi iliyonyooka asiyetukana Moja ni Twaha Mwaipaya
Mungu yupo wanetu,
Mungu sio wa kijani pekee.🙏
@sharrif_al Kwani hakuna sheikh msenge mbona wapo wengi tuu
Wale wenyewe waliowahukumu couple kunyongwa huko uarabuni ni waseng pia. Msenge ni mseng tuu hakuna direction ya useng
@George_Ambangil Mnachokifanya ndicho mnachopaswa kukifanya ila kwa ubora kidogo,
Kwanza kubalini nyie ni wabovu na hamna competitive team,
Cleaner iwe inapita kila dirisha na wapya waingie, wachezaji wajifunze kumuheshimu kocha na board impe kocha mamlaka, nk..
@Aduiwayanga Ndio maana kwenye vituo walikua watu 32 wanatikiwa 378?
Au mnahisi mpo kwenye hivyo Viti kwa kustahili?
Mungu watu hamkosolewi
Trump anakosolewa sembuse nyie mnaoteka wananchi wenu mpaka wanachama wenu?
Naangalia hapa supersport now kuna show yupo Osman , Defoe na Leroy Rosenior wana break down Man United bila mpira daah mpaka nimeona nibadilishe chaneli tu .
Maana ni huruma na inasikitisha sana.!
We just dont know what we are doing