1. Ukipewa nafasi - Tumia Vizuri Onyesha uwezo
2. Ukikutana na watu wanaofanya Vizuri zaidi yako - Usishindae nao fanya nao kazi
3. Ukiaminiwa - Kuwa mwaminifu hata pale hakuna anayekuona
4. Ukipata nafasi ya kuinua wengine - Wainue Usipande peke yako
Siku moja utaelewa kwa nini baadhi ya watu waliondoka.
Kwa nini baadhi ya milango ilifungwa.
Kwa nini baadhi ya mipango yako ilikufa.
Na utagundua kwamba si kila kitu kilichokuumiza kilikuja kukuharibu๐