Ukifika wakati wa kuinuliwa, MUNGU Atakutoa mavumbini na kukuketisha pamoja na wakuu. Hataishia kukuketisha tu na wakuu bali utakuwa Lulu mbele za watu wote.
Mungu akupe kibali wiki hii.
Roll over Day 1 Boomโ โ โ โ โ โ ๐ ๐
1k - 1 million in 9days
๐๐ผ๐ป๐ด๐ฟ๐ฎ๐๐๐น๐ฎ๐๐ถ๐ผ๐ป๐โ ๐ฏ ๐โค๏ธ๐ to all who participated
See your for Day 2
Donโt have 22BET open now and fund your account ๐๐๐
https://t.co/JeDznllrnr
โ Promo code: LEVY
Unapo Mchagua Mtu wa kuanza nae Maisha usiangalie tu Jinsi anavyo kufanya Ujiskie Vizuri angalia Jinsi anavyo ongea nawewe jinsi Mambo yanavyo kua Magumu ๐
ุฅู ูุธุฑุฉ ุงูุฅูุณุงู ุฅูู ููุณู ูู ุงูุชู ุชุญุฏุฏ ู ุตูุฑู ุงูุญูููู.
Mtazamo wa mtu kuhusu nafsi yake ndio unaoamua hatima yake ya kweli.
Wanaume watakula bata na wasichana warembo lakini wataoa wale wenye tabia njema tu na kisha kuchepuka na wale wenye tabia mbaya ๐ .
#Elimikawikiendi
Ukarimu haugharimu chochote lakini unaweza kubadilisha siku nzima ya mtu.
Iwe sababu ya mtu kutabasamu na kuamini tena.
Dunia inahitaji mioyo mizuri zaidi kila wakati.๐คโจ๏ธ