Kila Asubuhi mpya ni ushahidi kwamba Mungu bado hajamalizana na wewe. Shukuru kwa uhai, ombea nguvu, na tembea kwa imani.
Neema ya Mungu ikutangulie leo ๐๐ผ
๐จ BREAKING: The return of Jesus Christ is near. Accept Jesus Christ as your Lord and Personal saviour today.
Retweet and Like for other to see ๐คฉ
God Bless you ๐คฉ
Katika makala hii, nimejaribu kujenga hoja kadhaa juu ya kilichotokea wiki ya uchaguzi na kinachotukabili kama nchi;
1) Si cha kipekee kwa Tanzania tu.
2) Si kweli kwamba kimesababishwa na wapinzani na wanaharakati.
3) Si kweli kwamba vijana walilipwa kwenda kuandamana.
4) Vijana wana mahitaji ya dhati na ya msingi lakini hawaoni kwamba kuna mtu ana niฤ ya dhati ya kuyatatua.
5) Hichi ni kizazi cha tofauti; kinajua kinachotaka, na kina ujasiri wa kukidai kutoka kwa serikali/viongozi/watawala, ikibidi hata kwa njia zisizo za kawaida.