Independent human rights experts condemn reported widespread and systematic human rights violations in #Tanzania ๐น๐ฟ following the general elections on 29 October, including allegations of hundreds of extrajudicial killings, enforced disappearances, and mass arbitrary detentions.
Joint Statement by the British High Commission, the Canadian High Commission, the Embassies of Norway, Switzerland, Belgium, Denmark, Finland, France, Germany, Ireland, Italy, the Netherlands, Poland, Slovakia, Spain, Sweden, and the EU Delegation, on Recent Events in Tanzania.
Tanzania ๐น๐ฟ
President of Tanzania Samia Suluhu Hassna is going viral for putting her entire family into her government
1. Minister of Finance - brother in law
2. Minister of Health - son in law
3. Deputy Minister of Education - daughter
4.Special seat MP - daughter
5. Minister of Defence - family friend who was the matchmaker of family marriage
6. Deputy Minister of Work - niece
The elections in Tanzania were anything but democratic. Intimidation, violence, the imprisonment of Tundu Lissu, and the exclusion of the opposition reveal a clear slide into authoritarianism.
ย
There can be no โbusiness as usualโ for the EU! The people of ๐น๐ฟdeserve better!
This report underscores the disturbing actions by the Tanzanian Government to suppress protestors. Evidence of mass graves show an unacceptable attempt to cover-up gross violations of human rights.
There must be an independent investigation into these tragic acts immediately.
Vijana Wenzangu Jobless Wenye Ujuzi Na Haya Machuma Kuna Heka 700 huku Pori Zinahitaji Madereva, Wenye Vyeti Vyao Na Experience,
Namba Yangu Iko bio Unaweza Ni text WhatsApp Tuone Tunasaidizana Vp?
Good Morning
#TajiriLaKihaya
Ukiwa nje ya System unaweza dhani bank kama STANBIC,ECOBANK,ABSA Hazina wateja๐ ๐๐
Kumbe wenzetu wameamua ku deal saana na Matajiri wa Bulky Cashโฆ
Kwenye biashara za Importation hawa wapo mbele saaana๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
Bank zenu pendwa zinasubiriโฆ
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Leo Oktoba 13, 2025
Last time tuliishia Part 89 so leo unaendelea na
Part 90
Mahakama imeanza.
Majaji wameingia wameingia,
Mhe. Lissu ameingia akiwa amepiga kombati ya Kaki.
Wanachama na Viongozi nao wapo.
Ni siku nyingine tena, Leo hatujachelewa sana kuanza muda huu ni saa tatu na robo asubuhi.
Namuona karani yupo anazungumza na Mawakili wa Serikali muda huu.
Shahidi nae ameingia hapa Mahakamani muda huu amevaa shati la vyumba vyumba na mistari.
Criminal session no. 19605/2025 Jamhuri dhidi ya Lissu.
Anasimama Wakili wa Serikali naitwa Lenatus Mkude nikiwa nasaidia na Ajuaye, Katuga, Job Mrema, Ignas, Lusoki na Winiwa Kasawa wote tunawakilisha Jamhuri.
Na asubuhi hii tuko tayari kupokea uamuzi wenu mdogo na tuko tayari pia kuendelea na kesi.
Mshitakiwa nae anasema yuko tayari.
Jaji anaanza.
Mtakumba siku ya Ijumaa tarehe 10/10 wakati shahidi anaendelea kutoa ushahidi, Mshitakiwa alitarajia kumdodosa Shahidi kuhusu maelezo yake aliyotoa Polisi na kulinganisha na yale aliyotoa hapa mahakamani.
Upande wa Mashitaka ukaweka pingamizi.
Pingamizi hilo lilisema taratibu hazijafuatwa wakati wa kutaka ku impeach shahidi na hivyo walijikita hapo upande wa Mashitaka.
Kwamba hatua ziko tatu ambazo ni kusoma maelezo, kufanya ulinganifu na baadae kuomba yapokelewe.
Yeye alifanya hatua ya kwanza na kuhamia ya tatu hii ya Pili hakuipitia kwa mujibu wa kesi mbalimbali.
Kifungu cha 163 cha Sheria ya Ushahidi kimeeleza bayana.
Kifungu hiki kimeelezewa kwenye kesi mbalimbali kuwa lazima hatua zote zifuatwe.
Kwa kuzingatia hayo mahakama inakubali na kuyapokea maelezo hayo kuwa sehemu ya ushahidi wa upande wa utetezi.
Kwa mara ya kwanza maelezo yamepokelewa na kuwa sehemu ya ushahidi.
Pingamizi la Serikali limepigwa chini.
Mhe. Lissu anamtaka shahidi ayatambue maelezo hayo.
Ameyatambua na shahidi ameomba yapokelewe kama sehemu ya Ushahidi.
Tunawasubiri Majaji hapa.
Jaji kielelezo hicho kinapokelewa na kuwa Exhibit D1 kwa maana ya kielelezo upande wa Utetezi.
Mawakili wa Serikali walisema hawana pingamizi. Kinyonge sana kama sio wao.
Tunaendelea sasa.
Majaji wanaomba hicho kielelezo wapatiwe na wanakimark hapo tayari ili baadae kirudishwe kwa shahidi.
Anapatiwa hapa Shahidi kielelezo chake.
Mhe. Lissu : Tarehe 09/10 ukiwa unatoa ushahidi uliiambia Mahakama kwamba uliajiriwa Polisi Feb. 2006?
Kaaya: Ni kweli.
Mhe. Lissu: sasa soma mstari wa kwanza wa maelezo yako?
Kaaya: Mimi ndie mwenye majina nimeajiriwa na Polisi Mwaka 2005.
Mhe. Lissu : Kwahiyo kumbe ni 2005 ndio uliajiriwa.
Mhe. Lissu : Ni kweli au si kweli ulisema kwamba ulipata mafunzo ya upolisi kwenye chuo cha polisi Zanzibar?
Kaaya: Ni ya kweli.
Mhe. Lissu: Hayo maelezo yapo kwenye hiyo statement yako ya Polisi?
Kaaya: Hayapo.
Haya maelezo kupokelewa huyu shahidi atakipata chamtema kuni.๐๐๐
Mhe. Lissu : Nilijifunza sheria mbalimbali na kazi za Polisi, First Aid na mambo mengine. waeleze majaji kama hayo yapo?
Kaaya: Nimeyapata kwenye vyuo mbalimbali ikiwemo Chuo cha Polisi Kurasini Moshi.
Mhe. Lissu : Chuo cha Polisi Zanzibar na uliyojifunzia zanzibar yapo?
Kaaya: Huwezi ajiriwa na Jeshi la Polisi bila kujifunza kwahiyo nilienda vyuo vingi.
Mhe. Lissu : USITUPOTEZEA MUDA.
Kaaya: Naomba nipewe muda nijieleze.
Mhe. Lissu: Hakuna kujieleza hapa we jibu maswali
Kaaya: Hayo ya Zanzibar kiukweli hayapo.
Mhe. Lissu : Kwenye ushahidi wako hapa Mahakamani baada ya hayo mafunzo Zanzibar ulitunikiwa cheti certificate of competence?
Kayaa: Ni kweli.
Mhe. Lissu: Yapo wapi kwenye maelezo yako?
Kaaya: Waheshimiwa Majaji HAYAPO.
Mhe. Lissu : Ulisema hapa mahakamani kuwa uliajiriwa kama Police Constable 2006 hadi 2021 ulipokuwa special seargent?
Kaaya: Ni kweli.
Mhe. Lissu: Ongeza sauti wewe Polisi.
Part 91 itaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba Repost yako.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 91.
Mhe. Lissu: waeleze majaji kama hicho cheo cha special seargent kipo kwenye vyeo vya Police hapa Tanzania.
Kaaya: Nilisema nimehudhuria mafunzo ya Special seargent na sio cheo cha special Sergeant.
Mhe. Lissu: Waheshimiwa Majaji someni mlichoandika mtusaidie alisema nini tafadhali sana nawaombeni.
Jaji: anasoma hayo maelezo na kusema kuwa alipandishwa cheo cha rank ya Special Sergeant.
Mhe. Lissu: sasa tuambie katika muundo wa jeshi la polisi kama hicho cheo kipo?
Kaaya: Hicho cheo kipo ndio maana hayo mafunzo yalikuwepo na nilihudhuria.
Mhe. Lissu: Je huo ushahidi wa Special seargent uko wapi kwenye maelezo yako ya Polisi?
Kaaya: Waheshimiwa Majaji hayapo.
Mhe. Lissu: Ni kweli kwamba ulisema ulipokamilisha hayo mafunzo ulipewa cheti cha kushiriki hayo mafunzo na useme kama umeandika kwenye maelezo yako?
Kaaya: Ni kweli nilisema na ni kweli kuwa hayapo kwenye maelezo yangu. Nilisema hapa mahakamani pekee.
Mhe. Lissu: Je ni kweli au si kweli ulisema mwezi October 2021 ulipelekwa kwenda kusomea assistant Inspector kule Moshi?
Kaaya: Ni kweli
Mhe. Lissu: Yako wapi hayo kwenye maelezo yako ya Polisi?
Kaaya: Hayapo.
Mhe. Lissu: Ni kweli au si kweli kwa ushahidi wako baada ya mafunzo ya assistant Inspector ilipofika Feb. 2022 ukafuzu na kupata cheti cha mahudhurio.
Kaaya: Ni kweli.
Mhe. Lissu: Hivi kwanini huongezi sauti?
Kaaya: Sawa nitaongeza.
Mhe. Lissu: haya jibu swali?
Kaaya: Hayo maelekezo hayapo kwenye maelezo yangu ya Polisi.
Mhe. Lissu: waeleze Majaji kama ni kweli tarehe 09/10 ulisema hapa mwezi June 2025 ulipandishwa cheo na kuwa full Inspector kwasababu ya utendaji kazi mzuri?
Kaaya: Ni kweli Majaji.
Mhe. Lissu: waeleze sasa hayo mambo mema kama yapo kwenye maelezo yako ya Polisi?
Kaaya: Na yenyewe hayapo.
Mhe. Lissu: Ulienda kwenye mafunzo ya miezi miwili kuanzia Januray hadi March 2020 ulijifunza forensic investigation in modern science?
Kaaya: Nilisema lakini hayapo kwenye maelezo yangu ya Polisi.
Mhe. Lissu: Ni kweli au sio kweli kwenye ushahidi wako wa Tar. 09/10 ulisema ulipata mafunzo ya SISSCO certified support in Cyber security?
Kaaya: Ni kweli nilisema.
Mhe. Lissu: yako wapi kwenye maelezo yako?
Kaaya: Hayapo
Mhe. Lissu: Sasa kwanini hutoi sauti Polisi?
Kaaya: Natoa.
Mhe. Lissu: Haya toa basi.
Kaaya: sawa natoa.
Hii leo ni kama ule wimbo wa nauliza UTATOA, HUTOI.๐๐๐
Mhe. Lissu: Waeleze Majaji kama ni kweli ulisema vilevile ulisomea computer Hacking katika chuo cha Unique Academy pale Upanga?
Kaaya: Nilisema kweli hapa Mahakamani.
Mhe. Lissu: Ulisema kama umesomea computer Hacking?
Kaaya: Sikusema.
Mhe. Lissu: kwamba mafunzo yalichukua miezi miwili yaani week 8?
Kaaya: ni kweli nilisema ila kwenye haya maelezo hapa sijaandika.
Mhe. Lissu: Ulisema ili mtu yeyote kuweza kutumia mitandao ya Kijamii mtumiaji huyo anatakiwa kujisajili kwa kuweka taarifa zake ili zionekane na watumiaji wengine?
Kaaya: Ni kweli.
Mhe. Lissu: Piia ulisema ukiwa unajisajili unapata username jina lako, password na email address unaviweka?
Kaaya: Ni kweli ila sikusema unaweka nilisema unaandaa.
Mhe. Lissu: basi ni sawa jibu sasa swali langu kama hayo maelezo yapo kwenye hayo maelezo yako ya Polisi.
Kaaya: Hayapo kabisa.
Mhe. Lissu: baada ya kuandaa yote hayo unaingia kwenye uwanja wa mtandao husika kwa kadri ya maelekezo utakayopewa?
Kaaya: Ni sahihi nilisema hapa lakini kwenye maelezo niliyotoa Polisi haupo, usije sema nisome wakati sikuandika.
Mhe. Lissu : ulisema kuhusu ukurasa wa mtumiaji yaani user page?
Kaaya: Ni kweli.
Mhe. Lissu: Je upo kwenye maelezo yako ya Polisi?
Kaaya: Haupo
Mhe. Lissu: Baada ya hapo ulisema hivi kwamba kwenye YouTube ukiingia, unaweka username na email address na password na baada ya hapo unajaza taarifa.
Kaaya: Sikusema neno kuandaa.
Part 92 itaendelea kwenye post inayofuata,
Naomba Repost yako ujumbe uende mbali.
Baba mzazi wa Mwanamtindo Maarufu @flavianamatata FlavianaMatata Mzee Francis flugens Matata ambaye ni kada wa CCM anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa shinyanga kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano Mzee Francis ana zaidi ya Masaa 24 toka amekamatwa na mpaka sasa hajapewa dhamana.
Mna kiu na damu za watu?
Resolve yetu ni ya hali ya juu know kuliko mnavyojua.
Hii script itafaili na mtalipa gharama kubwa sana kwa uovu hii mnaofanya kwenye familia za watu.
Acheni kutesa watu.
Nimepokea simu kutoka kwa mdogo wake Chifu Kalumna ambae ni Mwenyekiti wetu wa wilaya ha Bukoba mjini.
Anasema polisi wakiwa na silaha za moto na magari mawili, wamevamia nyumbani kwa Chifu mda huu na kuondoka nae bila kumwambia wanamhitaji kituo cha polisi bila sababu yoyote kutolewa.
Watu wetu wanafuatilia kujua wanampeleka wapi.