For the first time naaga mwili wa marehemu, halafu ma father. So sad 😭😭.
Pumzika Kwa Amani Baba yangu, daima utaishi mioyoni mwetu sisi wanao. Hatuwezi kuzuia alilolipanga Mungu 😭😭😭
Kama unasoma tweet hii...
Wewe ni sababu ya mimi kuendelea kuandaa valuable contents kila siku.
Nathamini mchango wako kwenye safari yangu ya kujenga brand hapa 𝕏.
Hivi unaweza ukakataa Deal flani kwa sababu masharti yake yanakinzana na imani ya dini yako au dhehebu..?
Mfano
• mkristo upate deal la kutangaza /promote vilevi au
• Muislam kupata deal la kupromote Pork au Pork Point flani
Leo ni June 1.
Usiingie kwenye mwezi huu ukiwa na hofu.
Ingia ukiwa na imani.
Kwa sababu Mungu aliyekuvusha January,
aliyekuvusha February,
aliyekuvusha March,
April na May…
ana uwezo wa kukuvusha mpaka December.
Na pengine ushuhuda wako mkubwa bado uko mbele yako . 🙏🏽
Ni uhakika usio pingika hakuna andiko lolote lililo andikwa popote kwenye Bible ama Quruan kwama
(JISAIDIE NAMI NITAKUSAIDIA)
Sasa nyie endeleni kwenda kwa waganga wa kienyeji kwa kusapotiwa na mstari went wa uwongo😂😂😂