@EduTalkTz Huyu ni mwehu kabisa. Anataka kusema kuingia kwenye uchaguzi ndio kupata ruzuku🤣🤣🤣🤣. Wote tunajua kupata ruzuku ni lazima ushinde baadhi ya majimbo, sasa kama watu wanaweza kukuamulia hakuna mazingira sahihi ya kushindana kwa haki hayo majimbo unapataje?
@Northern_thugg Nadhani huna miaka mingi ya kutosha kuwa fahamu kina Omary na Ahmed Jongo. Hawa ni brothers. Nadhani huja wahi sikia Mikidadi Mahmud pia. Wapo wengi sana
@EduTalkTz Kama kweli unaamini yupo Mungu na kweli ndiye muumbaji, basi huwezi kuhoji swali la hivi. Hivyo unajua wazi huyu ndugu haamini katika Mungu huyo wa Bible lkn anamuhoji nevertheless. Ajabu sana.
@EduTalkTz Hakuna cha maana anachoongea. Anaulizia kwa nini Mungu asijifanyie mke... stupid question. Spirits do not marry. John 4:24 God is spirit. Lkn pia kwetu sisi wa hapa duniani kuoa au kuolewa sio kitu cha lazima.
@MaureenNgasala Romans 8:11
Lakini, ikiwa Roho yake yeye aliyemfufua Yesu katika wafu anakaa ndani yenu, yeye aliyemfufua Kristo Yesu katika wafu ataihuisha na miili yenu iliyo katika hali ya kufa, kwa Roho wake anayekaa ndani yenu.
@MaureenNgasala There's nothing that can kill a Christian. Even death itself is defeated. We don't die. We just get out of this body and be present with our Lord forever.
@MaureenNgasala There's nothing that can kill a Christian. Even death itself is defeated. We don't die. We just get out of this body and be present with our Lord forever.