Hatujui sababu ya vifo vya hawa wa sasa hivi kilichotokea tena na kingine kitakachotokea karibun. Kitu kimoja ni kwamba hatupaswi kupoteza sauti zetu bure, kwani kwenye taaluma yao kuna gharama ya kulipa unapochukuliwa kama tishio au msaliti.
Kukutana au kujua taarifa yoyote ya siri kuu ni sababu nyingine ya kufa au kupotea kabisa kwenye uso wa hii dunia hasa kama ukionekana huna nguvu ya kutosha ya kulinda siri hiyo.
Hakuna kiongozi au mtu mwenye nguvu anayevumilia tishio la kugawanywa kwa mamlaka yake. Ukionyesha chembechembe za kutaka kupindua ushawishi wake au kujigeuza kingmaker asiyetawalika, utakatwa kichwa cha kisiasa au kiutendaji mara moja kabla mizizi yako haijasambaa ma💍
Usitumie ukaribu wako au nafasi yako ya usaidizi kuanza kujenga kundi lako la uaminifu (loyalists) ndani ya mfumo kutoa maelekezo yanayopingana na ya mkuu wako au kuanza kujifanya wewe ndiye unayeongoza mchezo nyuma ya pazia huku ukimdharau mwenye mamlaka halisi.
Watu wenye mamlaka hua na ego Kama unataka kumrekebisha au kumpa ushauri unaopingana na mtazamo wake, fanya hivyo faragha . Kamwe usimkosoe mbele ya walio chini yake au mbele ya maadui zake. Akijua unalinda heshima yake hadharani, atakusikiliza sana faragha
Ukienda viwandani mshahara mkubwa mtu analipwa ni 10k per day , nauli, lunch juu yako, mishahara mingi ni 5-7k per day,mtu anasema 600k per month take home ni ndogo na waache kazi, kuna ugomvi gani kati ya Akili na watu weusi, 20k per day unaishi vizuri acheni standard za hovyo!
Ninawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Eid Al Adha. Tusherehekee kwa moyo wa amani na upendo, huku tukiwakumbuka ndugu zetu wenye uhitaji, na kuendelea kudumisha utu na ukarimu katika jamii.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema apokee dua na sadaka zetu na aendelee kulibariki Taifa letu.
Eid Al Adha Mubarak.
I wish my friends @MallyaKelvin1 and @MnkandeMichael could witness dembele’s form, we used to have conversation about how talented the frenchman is. Keep resting my brothers.