KENNEDY JUMA
π£οΈ βHatujapata Ushindi Kwenye Mechi Kadhaa Zilizopita Lakini Sisi Bado Ni Bora Wachezaji Wanaendelea Kuzoeana Na Tutarudi Kwenye Ubora Wetu Na Kuendelea Kushinda Kama Kawaida,β Amesema Kennedy.
#WeAreSimba#Simba4Ever#WeAreRedsπ΄π¦ #OneTeamOneDream#NguvuMoja
βUnawezaje kucheza Champions League wakati hauna kocha ambaye ana sifa za kufundisha Champions League sasa Professor Nabi, amesema yupo tayari kufungua kozi maalumu kwa makocha ambao hawana Leseni ya kufundisha Champions League akiwemo huyu mliyemtaja (Gomez )"
- Haji Manara
UNAAJIRI VIPI MTU HANA VIGEZO
βUnamuajiri vipi chief kwenye timu ya mpira ambaye hana vigezo vya kuwa kocha, unatumia akili gani kumuajiri,β @HajiManara
Usikute Simba hata robo fainali Africa haijawahi kufika Manara alitengeneza tu namna ili tuone Kama wamefika robo fainali CAF champions league, ππ