Ndugu wagonjwa na relatives, X-RAY hatufanyi tu kila sehemu au ukijisikia tu sehemu panauma unafanyiwa xray hivi vipimo unafanya kwa sababu maalum, na X-RAY ni mahsusi kwa mifupaโ
Kama hamna sababu msikilize daktari usikimbilie kusema niandike xray
-HAMPENDE UKWELI NYIE๐
Nasikia Geita Kuna jamaa anaitwa gsm uyo mwamba unamabiwa ni balaa ana LC 400 zile za milion 400 anazo kama arobaini ivi na hatambi wala, achana na iyo Kuna mwamba anaitwa guchi, kuna jamaa anaitwa makindo hao ni mabilionea wa atari, Geita ina mabilionea zaidi za 250.
Cha ajabu utamkuta kijana wa Geita anakimbilia Dar Kuja kuuza Maji ya kandoro.