@MkulimaKante Hamna tofauti hapo wamezitenganisha kimkakati sana ili wapigage ela🫵🏾😂 even if TFDA now nasikia ni TMDA
Lakin hoja ni kusimamia ubora wa bidhaa bas
@WideEdson Kwamba jana hukuona pale kati pamba walikuwa wanacheza wanavyotaka, au ulikua unaangalia mpira gan ww
Mipira 99% ya simba ilipotea baada ya kupitisha kati pale
@UrBoyMox@cleansheet_1 Kama unazungumzia pira burudani, basi JAABAR NDO KAZI YAKE, LAKIN KAMA UNAZUNGUMZIA TIMU ISHINDE DUKE ABUYA ni mali mno🙌🏾
Duke anacheza pira tuondoke, Jaabar anacheza pira burudani