Haikuwa ajali ya kawaida, makosa ya kibanadamu zaidi ndio yasababisha ajali hii
Msiba uliotikisa Dunia, kuanguka kwa Titanic! Meli iliojengwa kwa kiburi.
Ndani yake walikuwemo mabilionea wa dunia, wafanyakazi wa kawaida, na familia zilizokuwa na ndoto mpya za maisha.
Usiku wa baridi kali Aprili 14, 1912, meli kubwa zaidi kuwahi kujengwa—RMS Titanic, ilipiga mwamba wa barafu na kuzama kwenye Bahari ya Atlantiki.
Ilikuwa safari yake ya kwanza kutoka Southampton, Uingereza, kwenda New York, Marekani.
Lakini ndani ya saa chache, meli hii iliyotajwa kuwa isiyoweza kuzama ilitokomea baharini, ikiacha historia ya majonzi ulimwenguni
Lakini nini kiini cha ajali hii tofuati na wewe unavyofahamu?
Thread 🧵 👇🏾