This is what I'm planning to do for my kids...Latto this is one best news from your page !!
Japo kuna watu wanaona huu ni upuuzi ...wafanye tafiti za homeschooling kabla ya ku-judge!!
@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@DullahTheking2@MissChelsea1221@Balyx_ Leo umepost kitu cha maana Sana
Mwamba kaongea point mi mwenyewe wanangu lazima wawe home schooled shule ni system ya kuzalisha modern day slaves ndomana wazungu wako busy kujifanya wawekezaji Kenya,Tz,ug meanwhile wasomi wetu wanaambulia ajira ambazo zinawafanya kua watumwa..
Unit 731_UTAFITI WA KIKATILI ULIOWAHI KUFANYIKA KWA BINADAMU (JAPAN)
Unit 731..Miongoni mwa vitengo vya kikatili kuwahi kuundwa duniani in the name of development !
Ni kwanini nasema hivi?
Stick to the END.
Uzi....
SIKU KAMA YA LEO MWAKA 1963
DUNIA ILISHUHUDIA TUKIO LA KUSHTUA !
TUKIO AMBALO HALIJASAHAULIKA HADI LEO!
UZI...
Miaka 61 iliyopita, gereza lenye ulinzi mkali zaidi Marekani,lijulikanalo kama Alcatraz, lilifungwa rasmi!
WAFAHAMU WATUMWA WAASI WALIOWAUA WAZUNGU ZAIDI YA 20.
NINI KILIWAKUTA BAADA YA UASI? ....
๐๐ท๐ด ๐๐๐พ๐ฝ๐พ ๐๐ด๐ฑ๐ด๐ป๐ป๐ธ๐พ๐ฝ
UZI๐๐ผ
Ilikuwa Septemba 9, 1739, huko South Carolina, Marekani, wakati wa ukoloni wa Kiingereza. Watu weusi wengi walikuwa watumwa, wakiishi maisha ya mateso chini ya wamiliki wa shamba wa kizungu. Walifanya kazi katika mashamba ya mpunga na pamba bila malipo, wakiadhibiwa kwa viboko na minyororo. Lakini katika eneo la Stono, karibu na mto Stono, kundi la watumwa weusi wengi waliotoka Angola na Kongo lilianza kupanga uasi wa ajabu.
Kabla ya kushuka nayo nomba repost na like
MWANASAYANSI ALIYEFANYA MOJA YA UTAFITI MGUMU ZAIDI
Michel Siffre
Mwaka 1972, mwanasayansi wa Kifaransa Michel Siffre alijifungia ndani ya pango lenye giza totoro umbali wa futi 440 chini ya ardhi kwa siku 180.
MWANASAYANSI ALIYEFANYA MOJA YA UTAFITI MGUMU ZAIDI
Michel Siffre
Mwaka 1972, mwanasayansi wa Kifaransa Michel Siffre alijifungia ndani ya pango lenye giza totoro umbali wa futi 440 chini ya ardhi kwa siku 180.
Hii isije kugeuka kama ile ishu ya India na Nepal mwanzoni mwa miaka ya 1900 , champwat tiger aliua watu 436 kwa bahati nzuri aliuliwa a hunter Jim Corbet,
la sivyo ingekua noma sana!
Video hii imeonyesha,
Simba akiingia ndani na kumfukuza Mbwa, katika Nyumba iliyopo Tuala, Rongai- Kenya ๐ฐ๐ช jana Usiku wa saa 8
Angalia ilivyokuwa..
Video kwa Comments ๐