Kumbe siri ya kukanda unga utokee sawasawa nikusagala hotsi na kunyoosha mawili🤣. Nimetoa hamri hiihaa na rugwe thikithiki,saa hizi mimi na aunty @Jamilakizondo tuko sako kwa bako mambo ya jikoni🤣🤣🤣
Naona pale Old town wakaazi wameamua wajichukulie swala la usafi wa mazingira in their hands. Kisauni tufuate maana hiyo old Malindi road yakaa ndharandhara sana...
Man life is great with these AI agents,pale Figma washaniundia UI design thanks to Figmamake,saa hizi ni kuitupa Claudde iniundie the system. Thank you my God...