Finished #Adolescence, what an incredible show. We genuinely do not talk enough about the greatness of Stephen Graham. This final scene had me bawling. #adolescencenetflix
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema hivi karibuni kuna sakata la ukwepaji kodi limetokea ambalo kama TRA isingeamka Taifa la Tanzania lingepata hasara ya Tsh. bilioni 200 ambazo zingepotea kwenye mikono isiyo halali.
Akiongea leo January 23,2025 kwenye usiku wa tuzo za TRA, Rais Samia amesema โUkwepaji kodi una madhara mengi na unaathiri Wananchi na Wafanyabiashara, unasaidia kuzorotesha utoaji wa huduma za kijamii ikiwemo kuchelewesha dawa kwenye vituo vya afya, madawati Shuleni na usambazaji wa umemeโ
โUkwepaji kodi unamuadhibu anayelipa kodi, hii sio sawa ndio maana nasisitiza usawa kwenye ulipaji kodi sio mwingine analipa kodi mwingine halipi, TRA muwe macho na Wafanyabiashara wasio Waaminifu na wanaoghushi risiti za EFD na kuiibia Serikaliโ
โNinazo taarifa kuhusu vitendo vya kughushi stempu za ushuru wa bidhaa kwenye vinywaji ili kuiba kodi za ushuru wa bidhaa kwenye vinywaji hivyo, najua kuna sakata limetokea hivi karibuni na TRA isingeamka mapema tulikuwa tuna hasara ya Tsh. bilioni 200 zinakwenda kupotea kwenye mikono isiyo halali, kwahiyo TRA hongereni kwa kazi ile lakini naomba muongeze jitihada kwenye maeneo hayoโ
#MillardAyoUPDATES
NTEGHENJWA HOSSEAH (TAMISEMI): Maoni ya kuwa Uandikishaji unatakiwa kuhamia Kidigitali tunayapokea, inawezekana Chaguzi zinazofuata tunaweza kuhamia huko kwa kuwa tunaweza kuwa katika nafasi nzuri ya Teknolojia zaidi
#JamiiForums#JFDemokrasia#Governance#CivilRights #MitaaElection24 #JFSpaces #MitaaSpaces2024 #MitaaSpaces
Nowadays it's more expensive being a boyfriend than a parent.
I don't feel sorry for you if you're that guy, cause why are you taking up roles here father should be doing.