Faith Odhiambo: Tunakubaliana tushikane na Sifuna, Babu na Orengo? Tunasema saa ngapi asubuhi? Na wamama tunasema wakati wetu ni huu. Tuungane na Linda Mwananchi tuhakikishe tunashinda asubuhi na mapema
Edwin Sifuna: Hawa ndugu zetu kina Riggy G wakienda pekee yao mimi najua watashinda Ruto lakini watamshinda saa nane. Sisi wana Linda Mwananchi tukienda pekee yetu tutashinda Ruto lakini tutamshinda saa nane. Lakini wananchi wanatuambia hii kitu wanataka tumalize saa kumi na mbili asubuhi!
Babu Owino: Siku ya leo tunaongea imara na tunasema imetosha. Tunasema imetosha kuona kijana akihangaika na hana kazi, imetosha kuona mama kama huyu anakuja kuomba fee hapa kwa rally na hawezi pata.
Wangapi wanasema wantam ?
#K24Siasa
Wamalwa expressed willingness to team up with the Linda Mwananchi camp led by Nairobi Senator Edwin Sifuna. His remarks come amid growing debate within the opposition over how to choose a single presidential candidate capable of unseating President William Ruto in 2027.
https://t.co/WJ7xO2KWNP
James Orengo: This is the happiest day of life, I have come to Thika and i have seen rallies but i have never seen a crowd like this. Kazi yetu ni kupeleka Ruto Nyumbani. Mimi ndo party leader wa Linda Mwananchi hiyo ingine ni debe tupu.
#K24Siasa.
Murang'a County has won a temporary reprieve in a Sh400 million court battle over ECDE teachers' pay after the Court of Appeal froze a judgment ordering salary adjustments and back pay.
https://t.co/ac1FdwBfk9
Sifuna: Kitu ya kwanza tutakata budget ya State house, Inawezekana aje kila wiki unabadilisha Mabati ya State house kwa sababu uko na pesa ya wananchi.
Sisi wanalinda mwananchi hatutakuwa wale amabo wanatumika kufungulia hiyo paka ambayo iko kwa corner iruke itoroke.
#K24Siasa