As a trader most things are difficult,
Don't expect them to be simple
Spending whole night backtesting is hard,
Taking only 2 trades in a day is hard,
Staring at the charts and not doing anything is hard,
Not taking a trade after you have a loss is diificult
But guess what, these are all habits that can and must be developed as a trader if you want to be consistently profitable
Just do them repeatedly soon you'll have joy in doing them
Una mipango mizuri sana... lakini bado uko pale pale. Hii ndiyo sababu
Usiweke nguvu nyingi
kwenye mipango,
halafu kidogo kwenye utekelezaji.
Ndoto hutimia kwa vitendo,
si kwa nia.
Mipango mizuri
ina thamani pale tu
inapogeuka kuwa hatua.
Watu wengi wanajua
wanachotaka kufanya,
lakini wachache huanza kufanya.
Utekelezaji
ndio daraja kati ya ndoto
na matokeo.
Miezi 6 iliyopita ulijifunza nini kipya? Kama huwezi jibu haraka, huu ndio mwanzo wa tatizo.
Ni ujuzi gani ninaohitaji ili kufikia kusudi langu?
Nimejifunza nini kipya ndani ya miezi sita iliyopita?
Je, ninatumia muda wangu kujijenga au kuburudika tu?
Kama fursa kubwa ingenijia leo, ningekuwa tayari?
Mafanikio ni ninii?๐๏ธ
Binafsi naamini mafanikio ni subira,imani,uvumilivu na mwendelezo wa kuendeleza unachokifanya.
Mwaka 1990 kijana mmoja kutoka mkoani Kilimanjaro alipomaliza Elimu ya darasa la saba aliingia kwenye kuajiriwa na shemeji yake kazi ya duka la vyakula.
Kijana huyu alifanya kazi kwa bidii na kujituma kwa moyo mmoja mwenye kuheshimu na kutunza kazi.
Kwenye ishu nzima ya mshahara wake aliitaji kutokulipwa chochote ndani ya miaka mitano,nae shemeji ake alimsikiliza kijana akawa anajituma.
Kufika mwaka 2005 kijana huyu aliamua kumwambia yupo tayari sasa kwa kuondoka.
Basi shemeji ake kwa hali ya makubalian ilimbid ampe kijana 5M..kwaajili ya kufungua duka lake na yeye.
Leo hii imepita miaka 15 kijana huyu kupitia 5M ya miaka mitano asaiv anatengeneza zaid ya 100M kwa mwaka.
NB:Hakuna janjajanja za kufanikiwa uwepo wa Mungu na bidii ndio mtaji wako kwaajili ya kesho bora".
TRUE STORY "๐๏ธ๐