TAARIFA
"Jeshi la Polisi Mbeya lilimkamata kaka yetu Clemence Mwandambo tarehe 29. 12. 2025 alipokuwa ameenda kuripoti na wakakiri kwamba wanamshikilia Katika kituo cha polisi kikuu Mbeya"
"Kaka yetu alitakiwa awe anaripoti kila Jumatatu alipofika wakamkamata"
"Familia tulipoenda kumpelekea Chakula wakasema hayupo na hawajui alipo, baada ya siku Kadhaa kama familia tukaendelea kifuatilia tukagundua yupo Kituo cha Polisi Inyala Jijini Mbeya."
"Tulipoenda Inyala tulimpelekea chakula hawakutana tumuone wakasema yupo ila hatutakiwi kumuona baada ya kweli baada ya Muda ikaja gari landcruzer ikiwa na Tinted ikamchukua mzee wetu kwa macho yetu tunaona ikaelekea uelekeo njia ya kwenda Iringa."
"Baada ya hapo hatujawahi kumuona tena ndugu yetu hatujui anakula nini? Kama anamakosa apelekwe mahakamni kwanini hawataki kumpeleka mahakamani kama sheria inavyotaka? Hatujui ni mzima au wamemuua kama wamemuua watupe maiti yetu tukazike."
"Sisi kama familia tunalitaka jeshi la Polisi liseme alipo ndugu yetu."
REPOST 500
TUTAKUWEPO๐ซต๐