Ukishazingua, acha stori nyingi na ujuaji, apologize endelea na mambo mengine. Conflict na wateja zinaanza pale mtoa huduma anapozingua na kujaribu kua defensive kwenye mess yake.
Are you a startup working towards Gender Equality, Climate Action, Good Health and Well-being, Quality Education, Good Jobs, and Economic Growth and Reduced Inequalities. Apply to the FTxSDG Challenge and win up to $500K in investment!
More info: https://t.co/3qY52Si4NN
#Metaverse wabongo msijepitwa na viwanja vya kidigitali wakati wazee wa wengine wanawahi viwanja huko obay masaki upanga na kadhalika wa kwetu walikuwa shamba sisi @crian_nicas @NNgailo@CRYPTOHomeTz@CRYPTOtza @MaujanjaCrypto tuwahi sasa huko #Bloktopia
Nakupongeza Mhe. Rais @DrHmwinyi kwa kutimiza mwaka mmoja tangu uingie madarakani kuwa Rais wa Nane wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Wazanzibar tuna imani na wewe na tunakutakia kheri katika kuijenga Zanzibar bora. Nakuahidi ushirikiano zaidi.
No one will ever be so good at trading that he or she will never take a loss. Being wrong is unavoidable, but staying wrong is a choice. Losses are a part of trading; if you are not prepared to deal with them, then prepare to eventually lose a lot of money.