@Phbhimself Hakuna Ubaya usiolipwa...
Tatizo litakuja pale kisasi kinawakumba wasiokuwa na hatia... Yaani maovu ya Ancestors yatawaathiri vilembwe keza+wasiojua lolote. Wafrica hawataweza kuwa wajinga milele..
@bbcswahili Kumwaga manii ni kama kujikojolea kitandani. Kumwaga manii ni dalili tosha kuwa umeshindwa kusimamia akili yako na ni matokeo ya mawazo machafu ya ngono na ufuatiliaji wa picha mnato na picha mjongeo za maudhui yahusuyo ngono.
Wanaume wanapaswa kujifunza usimamizi wa akili zao.
@MfalmewaX1 Mkuu usione wanaotumia pesa za baba zao ni wajinga. Ni vena kumtia moyo bila kuhusisha wengine ili nae apate ili wanae waje wafaidi matunda ya baba yao..
Urithi wa mzazi kwa mtoto si dhambi.
@Exquisite254 Hakuna alikufa na akarejea kutoa ushuhuda kuhusu nini na kwa njia gani chapaswa kufanyika. Kila mtu aabudu anavyoona ni sahihi kwa upande wake
@Eng_Matarra Ulizaliwa na kuukuta Ukristo, lakini hukujifunza. Kwa mantiki hiyo hakuna unachoelewa katika Ukristo.
Jifunze Ukristo na jifunze kuhusu Kristo. Hautahitaji kutangatanga.
Ukijifunza Uhindu, unaweza ukaona Uislam si dini ya kweli. Vivyo hivyo na kwenye dini zingine. Asante.