Zamani kulikuwaga na ma T.O halafu kulikuwa na Elias Kihombo. T.O wa 2006 ambaye alikacha chuo na kugeuka kuwa mwalimu wa Tuition Physics na Chemistry wa shule kubwa Tanzania.
Ziara yake mashuleni ilikuwa ni kama Waziri wa Elimu, madarasa yalikuwa yanafurika mpaka hakuna nafasi ya kukaa ili wanafunzi wapate mapindi. Anakumbukwa kwa lugha yake ya ucheshi wakati wote iliyojaa ujivuni, akipenda kuwaita wanafunzi "Nyumbu" na kusolve maswali kwa njia nyingi na rahisi hadi za wale aliokuwa akiwaita Manyumbu wasioelewa 😃😃
Mimi nilikuwa mmoja wa wanafunzi wake pale Karatu Boys nilikuwa Nyumbu wa Chemistry. Taarifa zinasema akifariki mwaka 2020 kwa maradhi. Rest in Peace Kihombo.
@Rydx_017 Nakupenda
Amaglobe
Sthombe esihle
Ke wave
Mdantso nyana
Return of tobetsa
Mabalabala
Malacosta
On the floor
Jab jab
Uvalo
Khuze
Madlamini
Shayi moto
Yashi moto
Piki piki
Wishi wishi
Mina
Mnike
Yebo
Yebo lapho
Mjolo
Zenzele
Amawele
Birimarung
.....Have a nice day
Kuna kitu kinaitwa Neema. Ikikukuta, haikagui vyeti vyako, CV yako wala kabila lako — inabadilisha tu story ya maisha yako katika namna ambayo hukuwahi kufikiria. Kama unasoma tweet hii, Neema ya Bwana ikukute mahali ulipo. Claim it by retweeting this tweet.
Album yangu mpya "MUZIKI WA SPUNDA" Sasa ipo sokoni rasmi.
Bei ni 10,000 tu.
Lipa namba -
Mixx By Yas - 17912371 - Mutalemwa Theobard
M- Pesa - 37126743 - Maalim Store
Ukishalipia nitumie ujumbe wa muamala wako Whatsapp 0769522346
Plz RT 🙏
Mzazi/Mlezi wa kuanzia mtoto mchanga mpaka miaka 12 bas hapa ndo mahala pake..👌
Kwa mahitaji ya Nguo za watoto, Bags,Viatu na Toys usisite kunifollow na kunipa oda yako..
Kwa kuanzia 5,000/= pekee tunampendezesha mwanao.
Tunatuma popote Ulipo.
Karibu Mniungishe 🙏