Napenda kutoa ushauri wangu wa bure kuhusu vijana wenzangu haswa leo kwenye tweets zenu mtaponza mali zenu
Leo wazito wako doria kishenzi ukijichanganya tu umekwisha
Mimi sio shabiki wa Barcelona ila namkubali sana huyu dogo Fermin aise Itoshe kusema dogo anajua sana bolu na yule mwenzake Marc Casado.
Good morning wasakatonge wenzangu