Kuna siku unaamka Kila unachogusa kinaharibika, Siku inakuwa nzito Kelele, Kesi, kutoelewana kunatawala.
Kuna siku kila unachogusa kinaenda, siku inakuwa yenye furaha na tabasamu,
Siku haziringani, Siku mbaya kwa ajiri ya ubaya na siku nzuri kwa ajiri ya uzuri
Kuna muda inabidi tujifunze kwa njia ngumu, Hayo tunayoyaita majaribu kuna muda ni masomo.
Kuna Muda matatizo yanatufanya yunakuwa Imara, Maumivu yanapoacha makovu hutukimbusha kutorudia makosa.
Niko site hapa waha wawili wameanza kubishana, topic imeanza mmoja wao kasema *Eti watu wanasema whaa ni wabishi* Mwenzie akasema ndio mwingine anasema hapana
Saa nzima sasa wanabishana😅😅😅
Iran imesema Imeweka Zuio kwa maadui wanaopigana nae sisi Tanzania hatufungamani na upande wowote kagika hii vita kwanini tunakuwa effected?
tumepelema meli zetu zikazuiliwa?
Respect boundaries
We’re done? Cool. “It’s over” means stay out of my business
I’m quiet? Respect it. I’ll back if I want to. That’s maturity that's altitude.
U said no? Don’t get mad when you see me with someone else. Don’t call me a player for doing what you wouldn’t do.