1 Timotheo 4:15-16
15 Uyatafakari hayo; ukae katika hayo; ili kuendelea kwako kuwe dhahiri kwa watu wote.
16 Jitunze nafsi yako, na mafundisho yako. Dumu katika mambo hayo; maana kwa kufanya hivyo utajiokoa nafsi yako na wale wakusikiao pia.
@MswatiKing_01@ChagosChago Wakuachie timu wakati wamekupeleka robo kwa mara ya kwanza, wamekupa point 10.😀😀🙌.
Hao wataendelea mpaka timu kubwa ziwachukue kama wasaidizi😀