Na kwani serikali imesota haraka aje? Yaani baada ya kuongeza fuel prices and taxes sasa wanataka tudownload certificates na ksh.1450
Wachana hata na hiyo, kuna mandatory inspection ya NTSAπ
WATUME TU TILL #tumechoka
Another year is going to pass, i am a filing nil returns as an employed person.
Yes, it is hard but but i have to. The roads we are maintaining on our own.
I can't be feeding these oragutans like alai.