US President Trump and First Lady Melania greeted off helicopter by Prince and Princess of Wales before meeting King Charles and Queen Camilla at Windsor Castle
Follow live: https://t.co/eWvhd61csv
Michael Ealy has been cast as Malcolm X in ‘THE GREATEST’ – a limited series about the life of Muhammad Ali.
Executive produced by Michael B. Jordan for Prime Video.
(https://t.co/4veNnnGcY6)
Kumnyamazia mtu aliyekuudhi ukiamini bado haujawa tayari kwa mazungumzo magumu yanayolenga kuurejesha au kuusitisha rasmi uhusiano ni ukomavu wa kihisia. Kuchagua kunyamaza ukiwa umekasirika, kupooza maumivu, kutawala hasira, kisasi na kiburi ili kujipa muda wa kumaliza ugomvi kwa amani ni hekima hisia.
Kuna wakati aliyekuudhi anajua fika makosa yake na huenda amefanya makusudi kuona utafanya nini. Ukimwambia makosa yake unaweza kujiingiza kwenye mtego utakaochochea na kuzidisha tatizo. Unaponyamaza kwa lengo la kutuliza dhoruba ya hisia —si kumdharau mwenzako, kujikweza, kushindana wala kutunishiana misuli— hiyo ni hekima kubwa ya hisia.
Lakini kuna ile unatoweka kwenye maisha ya mtu mliyekuwa karibu bila kumjulisha sababu za kimya chako. Unanuna, unazira, unamnyamazia mtu bila maelezo yoyote rasmi, unafanya hivyo kama namna ya kujikweza, kumdharau, kuchezea hisia zake, kukwepa mazungumzo magumu au kumwuumiza hii inaweza kuwa dalili ya uchanga wa kihisia. Hata kama kweli umeumia, kutoweka na kumwacha mwenzio bila taarifa ni KIBURI. Hupungukiwi kitu kumuaga mwenzako ajue ukurasa wenu umefungwa rasmi.
BREAKING NEWS: Eid Al Fitr 1446/2025 is tomorrow: Sunday, 30 March 2025
The Crescent for the month of Shawwal 1446 was SEEN in Saudi Arabia today subsequently tomorrow is the beginning of the month of Shawwal 1446
BREAKING NEWS | The crescent moon has been sighted in Saudi Arabia. #EidAlFitr will be celebrated on Sunday, 30th March 2025.
May Allāh accept our siyām, qiyām & a'māl & may He allow us to witness many more Ramadāns in good health. Āmīn.