PRISON BREAK.🎬🍿
Thursday Imeturudisha Nyuma Miaka Kadhaa Ndani Ya Moja Ya Season Kali Kuwahi Kutokea, PRISON BREAK. Na Mwishoni Mwa S04 Tunaona Genius Michael Scofield Anafariki Huko Mexico, Lakini Baada Ya Kifo Hicho Kuna Production Errors Zinaonekana Humo.
Ni Zipi? Tushike👇
Mdogo wangu Stefano naomba nikushauri hiki kitu!
Move from “Ninatafuta kazi” to “Mwajiri anatafuta mfanyakazi”
Utakua na uwezo wa kusema hapana hii offer haitoshi ongezeni kiasi fulani📌
Ahsante🤝
To the ones who never watched Game of Thrones:
Your discipline is admirable… but let’s be honest while you were out there dodging trends,
we were surviving trauma that forged us in fire.
You stood outside the storm good for you.
But don’t mistake distancing for strength.
Nilikuwa naomba kuwajuza kwenye swala la T shirt za "Mtu wa kazi" binafsi natamani kitakacho patikana kama faida akapewe dogo kimsaidie T shirt nachukua 13k kuprint 6k T shirt nauza 25k faida 6 hiyo 2k itakuwa ya ofisi na 4k kwaajili ya dogo ila haya yatawezekana kwa sapoti yenu